Diamond Platnumz - Kesho lyrics

Published

0 2233 0

Diamond Platnumz - Kesho lyrics

{Chorous} =i> Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani nataka kesho twende ukamuone mama x2 {Verse 1} =I> Kwanza kabisa ntanyonga Tai T"shirt na Jeans ntatupa kidogo.. Unite Nasibu usiniite Dai Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo... Naukifika uagize Chai Savanna Takila uzipe kisogo... Kuhusu mavazi kimini haifai Tupia pendeza ila za Hekima Logo... =I> Even though wanaponda eti we ni kicheche Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2 {Chorous} =I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani Nataka kesho twende ukamuone mama x2 {Verse 2} Usilete swaga za Nainai Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo.. Eti shoping twende Tai wakati Dadaangu anaduka kigogo.. Ukikuta Nguna usikatae we zuga unapenda hata kama wa Muhogo.. Kuhusu kabila mbona Sadai Mama angu hana noma hata kama Mgogo =I> Even though wanaponda eti we ni kicheche Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2 {Chorous} =I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani Nataka kesho twende ukamuone mama x2 Mama yangu mama... Mama Naseeb mama... Mama Diamond mama... Mama yangu nyumbani... Mama Chali mama... Mama Sepetu mama... Mama Kidoti mama... Kwa mama Diamond nyumbani...

You need to sign in for commenting.
No comments yet.