Colonel Mtafa - Mtaani Dot Com lyrics

Published

0 795 0

Colonel Mtafa - Mtaani Dot Com lyrics

Intro (Colonel Mustafa) mtaani dot com maisha ni ku-hustle ndivyo ilivyo Mustafa Colonel una-witness the second revolution Ogopa DJs Verse 1 alikuwa footballer, Mathare FC sasa boy wa mtaa amekuwa star Italy (mtaani dot com) majamaa wamesoma lakini hakuna kazi wana-struggle mtaani alikuwa thug, na si kupenda kwake pesa aliyopata alilisha familia yake (mtaani dot com) school fees ilikuwa shida lakini alimada chuo mshahara six figures (mtaani dot com) yule boy alikuwa makanga alizidi ku-hustle sasa ana matatu saba jamaa ana-buy watoto lollipop ana-smile jihadhari anaweza kuwa p**dophile Chorus mtaani dot com kila siku mtaani ni ku-hustle pengine upate, pengine ukose ukipata shukuru Mungu jamaa ukikosa pia kesho inakamu mtaani dot com kila siku mtaani ni ku-hustle pengine upate, pengine ukose ukipata shukuru Mungu jamaa ukikosa pia kesho inakamu Verse 2 (mtaani dot com) mchana amevaa buibui usiku amebadilika ngozi ni ya chui chui (mtaani dot com) wasanii wakali ni kibao lakini hawana pesa ku-record ngoma zao (mtaani dot com) kijana amekatia mama mama mzungu, sasa anaishi majuu (mtaani dot com) mathree zina screen kubwa ata zinashindana na zile ziko kwenye manyumba kila mtu kwa mtaa anasaka ata five years old anauza karanga (mtaani dot com) mimi sihitaji visa mi ni vulture natumia tu mabawa Chorus mtaani dot com kila siku mtaani ni ku-hustle pengine upate, pengine ukose ukipata shukuru Mungu jamaa ukikosa pia kesho inakamu mtaani dot com kila siku mtaani ni ku-hustle pengine upate, pengine ukose ukipata shukuru Mungu jamaa ukikosa pia kesho inakamu Verse 3 kuna machizi wamedata hawashikiki hata kwa pikipiki (mtaani dot com) usishangae kuona Juma amerembesha ka Fatuma mpaka nashtuka baba ya mtu ni murderer akirudi home ye ni m-humble tena sana (mtaani dot com) asubuhi msee anatafuta blu aende kwa mama Njoki kukunywa mudi (mtaani dot com) mimi sihitaji visa mi ni vulture natumia tu mabawa mimi sihitaji visa mi ni vulture natumia tu mabawa Chorus mtaani dot com kila siku mtaani ni ku-hustle pengine upate, pengine ukose ukipata shukuru Mungu jamaa ukikosa pia kesho inakamu mtaani dot com kila siku mtaani ni ku-hustle pengine upate, pengine ukose ukipata shukuru Mungu jamaa ukikosa pia kesho inakamu

You need to sign in for commenting.
No comments yet.