[Intro: Cloudy 9] Ideal Records P-Virus Straight from the winter Mbeya City Iringa Town Napanda, Napanda, Napanda [Chorus: Cloudy 9] Hawaniwezi napanda Wanataka nishuke napanda Mbeya City Panda Iringa Town Panda Kama ni mbegu napanda Ntavuna nilichokipanda Mbeya City Panda Iringa Town Panda Kama ni mbegu napanda Ntavuna nilichokipanda Hawaniwezi napanda Wanataka nishuke napanda Mbeya City Panda Iringa Town Panda Kama ni mbegu napanda Ntavuna nilichokipanda [Verse 1: Cloudy 9] Ni mdogo mdogo kwanza sina haraka Najua nitafika ninapopataka Napanda ngazi kama naenda mbinguni Wanataka nishuke nibaki chini? No, haiwezekani, mi ndio namba one Vipi namna gani wanataka nishuke wakati na-hustle nifike sokoni Kimbiza game kama Fil bayi Cross boader kama Ay Nimeshajitoa siwezi subiri nitoke kwa zali Mentali nang'oa vizuizi vya mmea napanda misingi ya mavuno mazuri Hivyo nilivyo homie Kama ulikuwa haunisomi Napanda tetea naweka heshima mi ndio Jogoo wa mtaani [Chorus: Cloudy 9] Hawaniwezi napanda Wanataka nishuke napanda Mbeya City Panda Iringa Town Panda Kama ni mbegu napanda Ntavuna nilichokipanda Mbeya City Panda Iringa Town Panda Kama ni mbegu napanda Ntavuna nilichokipanda Hawaniwezi napanda Wanataka nishuke napanda Mbeya City Panda Iringa Town Panda Kama ni mbegu napanda Ntavuna nilichokipanda [Verse 2: Cloudy 9] Napanda straight to the mainstream cuz I dont wanna be no more under Ground with a full of struggling mayne all I wanna be official for tender More mullla like a platnumz Be wealth and handsome, cuz Yall n***as you dont wanna get it, you just wanna hate For money daily I be hustlin like diddy No jokin for my music homie any official song I be droppin for money Blow up like a thunder, hivyo ndivyo navyopanda I wanna dominatin game here like Idd Amin from Uganda No surrender, Wakisanda, Napanda,....panda,... [Chorus: Cloudy 9] Hawaniwezi napanda Wanataka nishuke napanda Mbeya City Panda Iringa Town Panda Kama ni mbegu napanda Ntavuna nilichokipanda Mbeya City Panda Iringa Town Panda Kama ni mbegu napanda Ntavuna nilichokipanda Hawaniwezi napanda Wanataka nishuke napanda Mbeya City Panda Iringa Town Panda Kama ni mbegu napanda Ntavuna nilichokipanda