Cloudy 9 - Knowledge lyrics

Published

0 247 0

Cloudy 9 - Knowledge lyrics

[Intro: Cloudy 9] Young Blood Hey, Ideal Records What You Think I Came For? Waaooh, Cloudy 9 H.I.V, Frema MC [Chorus: Cloudy 9] Kama mtaani kuna njaa tema knowledge Tuondokane na ufukara baada ya knowledge Kuwa MC huna budi kuwa na knowledge Knowledge, Knowledge Kama mtaani kuna njaa tema knowledge Tuondokane na ufukara baada ya knowledge Kuwa MC huna budi kuwa na knowledge Knowledge, Knowledge [Verse 1: Frema MC] Niite Frema MC the rap collage Natema fahisi, Black knowledge Kwenye track hii sitaki comedy Mathematic mithili ya geometry Wacky MC nawa-crash kwenye comment Politric juu ya beat complex Na-spit holy verse kama prophet Mabishoo nawa-diss kila project Flow, nazi-switch bila sockect Mbishi nakimbiza jiji, nipo speed zaidi ya rockect Sikuhizi mapenzi hakuna Mabinti wanacheki change kwenye pockect Fake wengi street wanaitwa boshion Tozi huwezi copy motion Ni hard hazihitaji usoft, so usi-apply lotion Wape Hi, Oten na Selemani Msindi Sholobwenzi brotherman wa morogoro mji kasoro ocean ya hindi [Chorus: Cloudy 9] Kama mtaani kuna njaa tema knowledge Tuondokane na ufukara baada ya knowledge Kuwa MC huna budi kuwa na knowledge Knowledge, Knowledge Kama mtaani kuna njaa tema knowledge Tuondokane na ufukara baada ya knowledge Kuwa MC huna budi kuwa na knowledge Knowledge, Knowledge [Verse 2: Cloudy 9] I gotta my scenarios n***as tryna pretend Jokofu on my back and am holding to the end Am so nasty for bars but not for hoes Beware with your dang tongue n***a I be knock your shows And get that dough, cuz am all about the cash flows 6 figures and above and not below Imma tree with art poetry, dont you see the fruits? You tryna throw stones cuz am hot on beats You gonna like cuz I never hated Never under-rated, am not over-rated Hits for the streets thats what people needy You say, you gotta sk**s but all I see is nothin' Dont live like a star, if you still upcoming Huu muziki siwezi udai kwasababu sijaukopesha Baada ya kifo naacha kazi na sio pengo wala nyufa [Chorus: Cloudy 9] Kama mtaani kuna njaa tema knowledge Tuondokane na ufukara baada ya knowledge Kuwa MC huna budi kuwa na knowledge Knowledge, Knowledge Kama mtaani kuna njaa tema knowledge Tuondokane na ufukara baada ya knowledge Kuwa MC huna budi kuwa na knowledge Knowledge, Knowledge [Verse 3: H.I.V] Daima nitabaki mjuzi kwenye kazi hii Ma-wacky niwapuuzi nawatupa kwenye dustbin Shingoni rozali sina tasbii Eti, Hip-Hop haiuzi huo ni unafiki wa Madee Maswali ya kiwacky kamuulize nash emcee Gangsta kama Bun B, Napeta kama Young Dee Namkalisha vibaya Kali P We ni fake Tai Chee, Dont try me Mr. H.I.V, Kung Fu Best, HQ Verse Chuo kikuu cha tenzi, Masista duu washenzi Wanauza nyeti ila bila kuwapa cash first hawagawi penzi Naienzi school collage ya kizazi Muziki wenye knowledge kama daz Sumu ya panya mpeni Wakazi Humu hapana, Ngumu inachana wazi kama vazi [Chorus: Cloudy 9] Kama mtaani kuna njaa tema knowledge Tuondokane na ufukara baada ya knowledge Kuwa MC huna budi kuwa na knowledge Knowledge, Knowledge Kama mtaani kuna njaa tema knowledge Tuondokane na ufukara baada ya knowledge Kuwa MC huna budi kuwa na knowledge Knowledge, Knowledge

You need to sign in for commenting.
No comments yet.