Cloudy 9 - KiBuBu lyrics

Published

0 222 0

Cloudy 9 - KiBuBu lyrics

[Intro: Cloudy 9] Waaooh! Cloudy 9 aaah! Mkwawa on the beat Icebox Music IBOX Waaoh! [Verse 1: Cloudy 9] Kibubu, Bank yangu ya ghetto Inanifanya mara nyingi natimiza zangu ndoto Sihitaji riba maana usawa unakaba Bora kwenye haba haba hapa najaza kibaba Ziwe sarafu ama noti, natupia pale kati Hesabu zangu zipo wazi sihitaji Bank Account Na siwezi lipa kodi nifaidishe mafisadi Kodi kwenye huduma, bidhaa pia zapiga hodi Taasisi za fedha mmenikosa kabisa Miamala yangu naiendesha bila hofu ya pesa Hakuna foleni natumia navyotaka Huwezi ukazuia matumizi umenipata [Hook: Cloudy 9 & Mkwawa] Kibubu, Kibubu, Kibubu Bank yangu ya ghetto Kibubu, Kibubu, Kibubu Hii ndio Bank yangu ya ghetto Sihitaji riba maana usawa unakaba Bora kwenye haba haba hapa najaza kibaba Kibubu, Kibubu, Kibubu Bank yangu ya ghetto Kibubu, Kibubu, Kibubu Hii ndio Bank yangu ya ghetto [Verse 2: Cloudy 9] Money in, money out, all bout the cash flows Tryna raise the money high, big stacks, bank-rolls No ATM, Strong-room, even Bank-vaults I got kibubu a.k.a Safe money box You can never steal cuz u know i got the money If you wanna get it come follow iringa town I'm from the ghetto but I wanna be rich I save the money cuz Im gonna be rich If you got no money please dont disturb She wanna be with me cuz I got it kibubu Hakuna foleni natumia navyotaka Huwezi ukazuia matumizi umenipata [Hook: Cloudy 9 & Mkwawa] Kibubu, Kibubu, Kibubu Bank yangu ya ghetto Kibubu, Kibubu, Kibubu Hii ndio Bank yangu ya ghetto Sihitaji riba maana usawa unakaba Bora kwenye haba haba hapa najaza kibaba Kibubu, Kibubu, Kibubu Bank yangu ya ghetto Kibubu, Kibubu, Kibubu Hii ndio Bank yangu ya ghetto [Bridge: Cloudy 9 & Mkwawa] Nkivunja Kibubu utanikuta Magic Site Nkivunja Kibubu ni Bwawani Camp Site Nkivunja Kibubu ni Ruaha National Park Isimila, Kalenga, Ziwa Nyasa, Mbeya City [Repeat] Nkivunja Kibubu utanikuta Magic Site Nkivunja Kibubu ni Bwawani Camp Site Nkivunja Kibubu ni Ruaha National Park Isimila, Kalenga, Ziwa Nyasa, Mbeya City Uwiiiiiih,.Waaao! [Outro: Mkwawa] Kwa wale wenye vibubu Counting the money down Tukutane kwenye starehe,.. Hahah, Mkwawaaaa... [Outro: Cloudy 9] Icebox Music.. Mkwawa on the beat mayne [Hook: Cloudy 9] Kibubu, Kibubu, Kibubu Bank yangu ya ghetto Kibubu, Kibubu, Kibubu Hii ndio Bank yangu ya ghetto Sihitaji riba maana usawa unakaba Bora kwenye haba haba hapa najaza kibaba Kibubu, Bank yangu ya ghetto

You need to sign in for commenting.
No comments yet.