Chandelier - Karibu nawe lyrics

Published

0 515 0

Chandelier - Karibu nawe lyrics

Wapi nitaenda tena, nisipo.... Kuwa kwako Maisha, yangu bila wewe, ni giza... Bila uwezo wako Nguvu yangu mimi na ujasiri ni Kama Niko chini ya mkono wako Chorus Karibu nawe eeh, nawe eeeh, Karibu nawe eeeh, nataka kuwa × 3 *Acapella* Maisha yangu yote mimi, nataka kuwa Sitaki tena kwenda mbali, nataka kuwa × 2 Mawazo yangu yote, ujana wangu wote Moyo wangu wote, mimi nataka kuwa Chorus Karibu nawe eeh, nawe eeeh, Karibu nawe eeeh, nataka kuwa × 3 Nijazeee... Nijaze Baba Nijazeee na roho wako ×3 Nifunze mapenzi yako, nifwate mapenzi yako Siku zote maishani mwangu, karibu nawe eeh... Nione jinsi ulivyo, nifwate mapenzi yako Siku zote maishani mwangu, karibu nawe eeh... × 4 Chorus Karibu nawe eeh, nawe eeeh, Karibu nawe eeeh, nataka kuwa × 3

You need to sign in for commenting.
No comments yet.