Bonihasto Boni P - Imeshatoka lyrics

Published

0 172 0

Bonihasto Boni P - Imeshatoka lyrics

[Intro] The wait is over hommie Imeshatoka Bonihasto Its my time bro Yeah(ay) Yeah(ay) Get em boy [Verse 1] Nakuteka hizo hisia,nazidi kukupa hamu Naongeza ile fleva,nafungua ufahamu Ni pumzi ya kitaa,nabuluza am to pm Ushtuke nilivyokita,nishasign kwa hii gemu Mi habari yenye dosari,vp mcs wataikabili Moyo jasiri hodari,mifumo yao nabadil Flow kesi jinai,wanasema boy hufai Nimemasta huu ujuzi,hapa vina havipumui Ni speed ya light,full energy sikai Nishaluzi gravity,nafly over sky Nashuti starz,nisome kwa hizo chat Call me the genius,akili huru hawanipati Imeshatoka bang bang,napasua hizo spika I do my thang thang,kila kona inaitika Tangu a nipo sober,im xo ill najikataa Nacross kila boda,kwa hii Swahili ninang'aa Hii ni zaid ya,ucwaze lini itafifia Sio pekee unayenigwaya,hata ticha wako anahofia Nimesukuma kete jiwe,cjui nani alaumiwe Mi ndiye Yule asubiriwaye,wacha shangwe nipigiwe Kama punch kuvuka line,boni p kwa jukwaa Timer isharead zero,hii ni finger kwa trigger Imeshatoka kwa kishindo,camera usiache tukio Hii ya leo co,cunaona matokeo bro(matokeo bro) [Hook] Imeshatoka haiwezi zuilika Imeshatoka usiwaze lini itadondoka Imeshatoka haiwezi zuilika Imeshatoka usiwaze lini itazimika Green city,Dar city(imeshatoka) Rocky city,A city(imeshatoka) Eastside,westside(imeshatoka) Northside,Southside(imeshatoka) Usiwaze lini itadondoka(imeshatoka) Haiwezi zuilika (imeshatoka) Usiwaze lini itazimika(imeshatoka) All over inasikika(imeshatoka) [Verse 2] Nimejibidisha na haya maisha,kulala brain imebisha Nimehakikisha na kisha,hii hatua sitorudisha Bonihasto na hii chance,navunja bila wasi Nahalla na ma fans,make some noise Brain stressless,swagga press upesi Smile on da face,hiz lines zinakuimpress Im on the right track,boy utanieleza nini Mbeya city on ma back,know wat I mean Haikaliki im on fire,natoboa kila layer Wanasema siko fair,ninuburn bila care Hard imara,image tofauti hatufanani Discipline kila bar,im so crazy cjitamani Kama kiburi a to z,waeleze sitochange Hii jeuri imebidi,nipo real till I die Step moja inakupa headache,ya nini unahate Stop playing fake,kunizuia upo late Imeshatoka shoryt,haiwezi rudi ndani Ulivyos**y hilo body,nipo ready uwanjani Nascore kila shot,like bb player I hit da spot,she z like ohh yeahhhh Nahitaji kuspread,kama miale ya uv Kuuza izo copy, kama ile muvi Nitazame unavyoniona,yeahh ilipangwa kuwa ivi Mi ndiye Yule mwana,nicheki kwa audio mpaka tv [Hook] [Outro] Yeah somebody ahhhh I told ya n***a B-on_I has to B-on P Bonihasto Boni P Greencity Baby Eyo Tanzania,I c ya 2012(twenty dozen)

You need to sign in for commenting.
No comments yet.