BLU INK - The Khaligraph Jones Presents Cypher (2016) lyrics

Published

0 337 0

BLU INK - The Khaligraph Jones Presents Cypher (2016) lyrics

[Verse 1: Domani] Yeah! Since orange is the new black tunaweza ita kule Kitale Kwale I'm the tax collector n***a- mi nipe tu finje, kwani Ndani mi huchoma inject it ile ngware I care for my family take Kinjekitile Ngwale Hii kundi ku-size gangs tulikuwa tuna-time tukikaa tuna-rap Tulikuwa tunajua hiyo ni false alarm; ni ishara ya kumanga lunch Kuni-disturb bruh ni blunder ya kwanza mhadhara Ku-discover blood, Mungu hatani murderer Ni ka umetumianga mihadarati zi-hupandiwa through Motherland Rest in peace Dantez, nimepewa sifa Number za beats nime-k** pro tool from CEO's IPhones hata ukiuliza Apple ni Infinix ilitoka before Syphillis tupewe hapo kwa poko maybe ni false Venye Safcom simu ni Techno Infinix shop IPO Bad mind! Enda uji-quench na Tusker baridi thirst Ka ulinyonga na waru, ku-find hakuna rasta gaidi ask Utadishi vipi plus na hata humalizi task Plaster za hizi skirt na ku-answer rahisi bruh Hii ni column za colon tumeketi smoke cuzo nina roho Station X tunakuachia rizla so Hapa hivi nikionyesha ubabe jua nina rod Tuki-weka cheerless ndom kufight u-Babyloni na Rome So nikikam na reckless hype usiseme psych Incase ni pengine reggae vibes Juu tutasema venye squad ya reggae fight Tsetse flies huwezi kuziona ndethe na naked eyes Thirty wise na hata ukilalia veve baridi u-nice Hadi uiweke fiti kwa njeve itabidi ice R.I.P Dan (Dante) bro how are you there? I hope uko fresh Na-reminisce tukivaa Timba caterpillar weekend Zangu ni ma-Nike nikimchocha we usijitetee Nikiteta kwani mi ndio m-old school pekee... [Verse 2: Ridiq] Aire! Me see a squad, my like lethal Don't come around if you don't have a meal plan Been so keen, got a third eye now I can read all your thoughts right now Check out the Rasta Man a don of the don Black on black always attack the tan Family fuss about who known tha dad But when it come to the bank Who nuh tell them I know no bank Jah a walk with me- Me have a dream like Martin see Malcom X Come here de new Nephilim Y'all just mortals, look down to thee Can't compare when compared to me We are the deadliest and them hike animal Competition want beef, we cannibal Big league clean, buy out the mall Yeah me love it when a girl can bounce At the same time smoke up a pound As me count out the total amount When me get down she go on unannounced Serial k**er when me move on the mic Who nuh check me switch it up? Wea got no choice Gal me drop it like a topping in a numpang Swoop in a city, man I bring it Can no man cool this fire, man Ridiq him a know man fool Cool, jump on the Coupe Hell! The fire start a light up me bring it in tighter Boombayah like Bujuman thought Pop inna the city like a demon on a land People like a East coz me sip inna de Bristol Pull out the kush coz me smoke up a bush How me slide out mother dem nah swoosh Like a Earth a take her under under squeeze Who na take on the breeze when we bring down this quiz Ridiq verse throw down a fist, Saigan... para de East [Verse 3: Scar] Hizi mating nazi burn loud By the way achana na King, mi ni Harun Mwau Ukicheka na machine nakuja na ya Latin; ma chik-blaow, ma-king ku-bow down By now, wanafaa kujua nataka kuwatuma Dharau? Tutakupoteza kama Jacob Juma Sikujangi solo, mi hukuja na back up nyuma Na ukiletaga usoro hapa tunaku-slap na chuma Pigwa goro ukusubiri cover Ka mchoro imefaulu, shukuru Mungu ni baba Napendaga waroro wanashughulikanga Marlboro na makoro ndo niudhi NACADA Usi-mistake na kismat, mind state ya Hitler Tuko blessed hi ni taste ya Jesus, yes naskika Siku hizi mi hutuli close na speaker, test kabisa Sababu hii ni ghost ya E-Sir So ka ni beef, weka rib kwenye grill Still ninawa-k** nikideal na ma-bill Nafeel kama peril kukazana na ma guil Chuki ni ka sigara; never did, never will Juu nakulima X kama mnduli Nai Nakuongeza ma-bars na-miss ku-deny Nawezanga fanya vitu zinawezanga toa nduli sykes Basi! Haijalishi kama ni ntakaa kwa mvua Ambia Wangeci kuna vile naweza taka kumjua Mabo ya rap stop na ukuje na Scar kwa tour Nikuonyeshe tofauti ya hawa ma-stars na jua I hope you get the point naleta from n***as already scared even before the Papa Jones Ma-rapper nimeona so far ni wa-horrible Kujichocha venye wamekomaa na bado huoni mboo [Verse 4: Ares 66] Mi huingia kila hood na napitaga orosho Naget in the mood na mistari kwa mbosho Na zile vitu good hazipatikani kwa soko Ni yule mtu rude unaweza dhani ni Sonko AK shotgun, kifaru bonoko All day program kuwachapa viboko Always slogan kuwachapa ni guoko Juu always Jordan kipara kisogo Najua mnangoja niongeze speed kidogo Niko fiti dogo sitii kisogo Nimechill tu kwa corner na rafiki yolo Tunachill tunachoma ni mazishi ya koro Na hatufeel hizo mangoma za mafikizolo Zero chills tunakulanga Kempinski ndondo OP si ndio tunapea mziki gondo Hip-hop- hao wengine wanashiriki ngono Niko simple na bado niko na spring kwa mkono Watu wamedoz ni kama Pope amekam Na mi naji-sign kama Bob amejam Nai to Abidjan to Abuja nakuja Ngwai tunazi-burn mpaka Thika na Juja Tumedunga machupa tukisorora wasupa Tunatupaga malugha ndani ya Corolla bila pupa Vitu kama unga ndio keroma tunakupa Ukitukana mbuio chunga noma tunatupa Ka fresh nina rupu seti Star already anashuku keti Scar kesi ni kuharibu jeshi, wacha Khali na Domani watasoma gazeti- ah! Label ni cookie na nakam na mboki We finya pause, bado mi ninasosa Fimbo ni kumi nikijam Nairobi Wapi nitadoz kabla mi sijaosa [Verse: Khaligraph Jones] Vile idhaa inatamba, basi bei ya bidhaa inapanda Niekafunga ni ka nimeji-tie na kamba Toka mazishi so hifai matanga lakini "Mazishi" imefanya ni-buy kashamba Shamba napiga pamba za kujigamba Mi ni plumber juu vile natamba na kuwabamba Ninapanga na madimanga za kumadana Nina hunger mi siwezi blunder niko sambamba Mi na Skang tuna-bang ka bazooka bro Hatuchomangi hizo cancer za duka - NO! Si hu-burn tuki-puff pa** tukicheka tuko tumeji-gas kama Fanta Bamboocha jo! Shhh...! Punguza pupa, unless unataka kuona nikiua mbu na chupa- PANG! Hapo usipoomba Mungu utakufa Wakisikia nikiroga wanakumbuka 2Pac, ama Biggie na Pun Ju vile beat ina-bang Nawa-take high ka pombe ya miti na bhang, bless Wanajua vile ni ninakam fresh Swag safi mambo vipi Madam- mresh Come close nikupige ka-tongue test Juu hakuna n***a ready to contest We ni student keti chini u-learn... Threats Hazinitishi nina jeshi ya kamjesh Mi huwa nimewasoma in case wa-turn manyoka Mi huwanga ni noma mpaka ma-fan huchocha From Bondo, Uyoma nakam na slang ya ocha Nimetoka Bungoma ka nime-hang kwa chopper Na ma chicki-dee wametucheki jo tuki-keep it G Eastleigh, tukishikisha miti na Big G CBD sisi ndio hupita na simu so mimi ni Shigi-dee- shida ka ugonjwa ilimada Eazy E Yaani ukedi, malaria na TB Kali msee niko area na CV Toka UK, mi si mgeni wa hapa jiji Chaoka na hizo ma-ngoma za Nigeria kwa TV From Yemi Alade, Iyanya mpaka Flavour Hawa mafala niaje hujifanya ka ni favour ndio wanatufanyia Na hizo ngoma zinaudhi They all sound same, kuwa-show mi sina budi Ma-rapper kwa beat ya Pun na wana-copy Desiigner Wako wengi fake utadhani Nairobi ni China Na mimi ni ka machine nikipanga ma-schemes So usini-compare na Sarkodie jo- Sarkodie ni minor Marapper wangapi Kenya wana-do sh** na-do? We ume-hit Kibera mi nime-hit majuu Yaani sahii nasifiwa na ma-sister du Facts only, n***a, I only speak the truth Yeah, you was never ready, I got the Glock ready The Mac 11 heavy, is very necessary You n***as Mary Mary, but me I'm Makaveli I'ma POW-POW-POW! till you n***as stay dem buried Hah! Mi ni Bob Ojiwa, sema mi hukaa m-Congolese Niko na true charms over peace My n***a who can bwogo me? Papa Jones!

You need to sign in for commenting.
No comments yet.