(Verse 1) Watasema watashoka usiku na mchana//Sisi tuna songa bali// Bill-k** famili// sisi Tunauwa// wepeke wajuwa// bila mziki sili Leta deali tule//tule pesa wote// wakaka na Wadada wa dongo na wakubwa//tule pesa wote wakaka na wadada wa dongo na wakubwa.// Refrain: songa mBele x3 mchana na usiku Songa Belle x3 akuna kurudi. Répéter (Verse 2) Tunatoka Mbali na mziki uyu[uyu,uyu]//tuna kwenda mbali na mziki uyu[uyu,uyu]//Tunatoka Mbali na mziki uyu[uyu,uyu]//tuna kwenda mbali na mziki uyu.// {tume Ibiwa , tume tukanwa//"no one" atahitika //ndo mahana Tunatoka bali//(tunakwenda bali)X2 Haa} Refrain: songa mBele x3 mchana na usiku Songa Belle x3 akuna kurudi. Répéter (Verse 3) Wewe nyuma//sisi mbele ume nouna,// iyo noma ume ona//Wewe nyuma//sisi mbele// iyo noma// (ayo yote nimolaaaa nakujitumaa X2) Refrain: songa mBele x3 mchana na usiku Songa Belle x3 akuna kurudi. Répéter