Bill-k** - Sakina lyrics

Published

0 126 0

Bill-k** - Sakina lyrics

"its you Boys Bill-k** " 2016 Refrain: (Sakina x3) wewe dada nikikuhona nawaza zameni (sakinax3) bila wewe mi mwazako nakosa amani. (sakina x3) Rudibasi tuhishi kama zamani. (Sakina x3) Ho mama Rudisha amani nyumbani.. Nyumbani,Nyumbani\Kunakosa amani\ Amani,msamahani lakini nahamini\bilawewe watoto wani driver craazy\ mwezako uku mimi,\ mimi nasukuma mahisha mi mwenyewe\ Leo mimi baba,\kesho mimi mama. Tena sio siri\Mwezako raha sina\ Pesa nazo Sina\ Amini usipo amini\ Ulaya na lala najaah.\ Sasa nakuomba sakina\(Roho yangu) sasa nakuomba sakinA[mpezi wangu] Refrain: (Sakina x) wewe dada nikikuhona nawaza zameni (sakinax3) bila wewe mi mwazako nakosa amani. (sakina x3) Rudibasi tuhishi kama zamani. (Sakina x3) Ho mama Rudisha amani nyumbani.. Jameni\ jameni, naomba msamahani.\ Msamahani, kutenda kosa sio kosa\ Kurudi Kosa, ndio kosa. Ni kweli nimekutesa\ ukweli nemetereza. Ho mola nipushiye\ nipushiye nisije nikahagunka tena\ ni ukweli nakwaleza\. Wakina sheila na alisha\ Abari nao sina tenaa.\Roho yangu ni kwako (WEWE) Mwiziyo na kuwa kama chayi Bila sukari Refrain: (Sakina x3) wewe dada nikikuhona nawaza zameni (sakinax3) bila wewe mi mwazako nakosa amani. (sakina x3) Rudibasi tuhishi kama zamani. (Sakina x3) Ho mama Rudisha amani nyumbani.. x2

You need to sign in for commenting.
No comments yet.