Avril Nyambura - Mama lyrics

Published

0 429 0

Avril Nyambura - Mama lyrics

Ukarimu, heshima baadhi yaliyo nivutia kwake Mara ya kwanza kamuona nilistaajabu Sio siri kuna vile anavyo nichanganya Na siwezi kujitoa, He's one in a million Chorus Oh Mama, I think I'm in love Oh Daddy, please let us be Let us be let us be let us beee x 2 Najua kazi yake haiwaridhishi Mwanamuziki yes lakini daddy he respects me And he loves me for who I am Na nampenda for who he is S io daktari ama lawyer vile mlivyo taka Chorus x 2 Bridge (talking) Mama, daddy don't get me wrong I respect you and I love you Naninajua asiye sikia la mkuu huvunjika guu But mama si uliniambia pia wewe ulipitia chenye mimi ninapitia Ati dad hakuwa choice ya akina cucu Lakini mumekuwa pamoja, mumejengana And dad don't worry l'll always be your little girl Chorus x 2

You need to sign in for commenting.
No comments yet.