Avril Nyambura - Chokoza lyrics

Published

0 3702 0

Avril Nyambura - Chokoza lyrics

verse 1 Hey Marya vipi nakuambia kuna chali anaangalia mi na Avril tukaenda msalimia akatupa shoti za tequilla huyu chali kaanza kukatia eti body zetu zavutia tukapanga vile kumkimbia tukaenda loo kisha tuka-disappear mi na beshte yangu tumekuja klabu (kazi yetu si ni kuchokoza) chali hunipati after hii party (tumekuja tu kukuchokoza) mi na beshte yangu tumekuja klabu (kazi yetu si ni kuchokoza) chali hunipati after hii party (tumekuja tu kukuchokoza) Chorus tumekuja chokoza usidhani umepata nafasi tumekuja chokoza usidhani umepata nafasi Verse 2 wewe chali usione mimi ni chipsi funga wee when I smile at you, don't mean I want to spend the night with you when I dance with you don't mean I want to get freaky with you ati twende nyumbani wee chali hebu wacha ufala wee miniskirt mi urembo tazama lakini songa wee songa mbali don't you see that you are bugging me I've got my own my job my car my job, my cash etc tafadhali nipe heshima yangu Chorus tumekuja chokoza usidhani umepata nafasi tumekuja chokoza usidhani umepata nafasi Outro ai bana mbona machali hu-behave hivi tumeenda club, lakini wanaume jamaa hajui hata kama unapenda machali ama madame mi nikiingia klabu nataka beshte tujuane kwanza bana mi na beshte yangu tumekuja klabu (kazi yetu si ni kuchokoza) chali hunipati after hii party (tumekuja tu kukuchokoza) mi na beshte yangu tumekuja klabu (kazi yetu si ni kuchokoza) chali hunipati after hii party (tumekuja tu kukuchokoza) Chorus tumekuja chokoza usidhani umepata nafasi tumekuja chokoza usidhani umepata nafasi

You need to sign in for commenting.
No comments yet.