Authentic BMX - Struggle lyrics

Published

0 403 0

Authentic BMX - Struggle lyrics

Hook/Intro Siko top of the game but am gonna be a star ju nastruggle,ninastruggle,ninastruggle so hard ninastruggle,ninastruggle,ninastruggle so hard ninastruggle,ninastruggle,ninastruggle so hard... Verse I Authentic BMX or call me Nas Jay Limo Best MIC eXplorer ndiyo maanake BMX Natoka ndani ya shimo kumaanisha underground But kwa cypher mimi nimo Nawashinda wengi kimo Av gone to many places coz nasoma Geography Na nahook all the b**hes, likewise to philosophy That's why naoverule kama Hitler na Gadaffi So kwa rap najikaza naspit kwa hii kipaza Naspit kwa hii kipaza sio Riddim sio Gaza Ni hip hop natukuza naiondolea giza hii sanaa ya michano,kuchana kwa uwiano Ju ni legal sio p**no. MC yule matata,mkali kama Shatta Mcheza pia karata,Southlands nimejikita MIC ninakamata rap kuleta Lang'ata. Hii ni rhymes si bachata naweka kwa instrumental Kuongea fundamentals, zile issues beneficial Kama vision na education.This's straight from medulla Situmii ndula ni kipaji chake Mola,napenda ka Coca Cola. Hook Siko top of the game but am gonna be a star ju nastruggle,ninastruggle,ninastruggle so hard ninastruggle,ninastruggle,ninastruggle so hard ninastruggle,ninastruggle,ninastruggle so hard... Siko top of the game but am gonna be a star ju nastruggle,ninastruggle,ninastruggle so hard ninastruggle,ninastruggle,ninastruggle so hard ninastruggle,ninastruggle,ninastruggle so hard... I don't have a mixtape,that's true,I don't have a DVD But the bars that I spit straight on the MIC are so hot and so dope in deed Am so good in the game, though underground but I know am gonna lead No more slavery,hakuna utumwa,independent on the game What remains to be done ni kushine kama star na kugain more fame Ju on the streets za Nairobi mimi ni kama nabii,nabii mwenye bidii Kutabiri kwa wadhee,and I don't find competition ju MC's wote mitini Kwa kugwaya hizi nyaya,nyaya hot kama fire Natema kama risasi,nashinda basi Rasasi Hata mat St.Mary's hazishindi yangu kasi Natetea low cla**,marafiki hustlers Wasojua calculus,wasong'ara kama stars Ni balozi mtetezi nakuja na uongozi Kuwafeli mi siwezi,am gra** mje mgraze Source of hope nawaamze ju me am never lazy Nibishe nikuchafue,sinadhifu uchafuke Nikuk** nikuzike nowhere tena ufike Ya kwangu huwezi kula,utatoka bila Ni kama lila na fila,hatutangamani Ju ukistruggle for the beef ninastruggle to succeed

You need to sign in for commenting.
No comments yet.