intro.(watu na ratiba zetu nini siunajua tunamipango mjini)
VERS.
hasubui na kitanzi na sindano ya ganzi
sina hata jefero nawaza pata msimbazi
nimechoka bala kitu cha dukani pumzi mkongoraa
nawasolola kwenye kioo
najifanya m kay manzii niaje jooh!
siunajiu ngoma zangu zinapigwa sa nai city
nahapa nimekuja bongo na show nakina fid
wananishtukia na nzi wananijazia
wapi natafuta chocho sina budi kukimbia
eti kitaa sina mchongo
nikiwa kwenye band nami najifanya mkongo
ndo nimetoka toka jana wabongo msinichezee
na nina pesa mingi mingi ndo wananiita pedeshee
mtoto mukulu mukulu na ngai ya kongo le
naongeza mukumi mingine leo nafunga pamoze
duuu!wakinifuma ndo wakanitoa kasoro
ikabidi nizuge me mdogo wa kitokololo
nimeishi marogoro
mbele yakina afande milima ya upogoro
so ata atm niwaoneshe
siku hizi naishi dar karibu na mlima manzese
(aaah! wap)
sina baiskel kiukweli namambo safi
sema sijabeba hela niweke bia kwenye gras
nachoma nyasi zamani nilikua ras
kama bob marey ila sema tu sitaki
me na swaga tena mkurugenzi wa vina
nawasomaga naweza chana ata kichina
(aaaaah!achakunazingua dogo)
CHORUS...
me super star sungura mjanja(wapii)
mzee wa viwanja
sijawahi kosa raha
ukinikuta bar nimekaa utashangaa haa!(mara 2)
VERS..
me ni star nagunia la simu za mkononi
juzi namefanya show nikajifanya ras lion
wakanishtukia makopo wakanirushia
ikabidi niruke ukuta plomota show haija mlipa
hapa nimetoka mwanza kina kid wananitafuta
siunakumbuka mwaka juzi
nimefanya show new york na lil weeezy
bbc cnn na dw tv
walitaka kunioji nikagoma tu hapa ze b
siunajua gari yangu kina cent waliniibia
saa yangu ya kijani obama nilimuachia
yee na bush walikua wanaililia
kibaoni ndipo walipo mdaka osama
kati ya wanajeshi walio mkamata nami nipo
we utashangaa mitakumbukwa adi kesho
(aaaaa wap)
dar mpaka moro
inanibishia wakati we shuleni mtoro
hummer nimeendesha
lambogen clesa
ata cash money pesa yangu nawakopesha
na bonge la house wan*liita cmb
kiwanda cha matishet nimemuajili jay z
ruda aliomba kazi nikasema simuitaji
bamedi wa bar yangu namuweka nick minaj
.....ymcb kwani nini.......
CHORUS(AGAIN)
....BRG.....
naheshimika popote
atanikienda kokote
utanisikia watu wananiaminia(mara 2)
CHORU(AGAIN)
.....OUTRO..
HII high life muzik tambua uwepo wa steve ross
juu ya hii beat
ze bato b16 wht up jacob richard mbonde