Wewe nyambonde mimi nyasumi matatizo yetu hayafanani
Wewe nyambonde mimi nyasubi matatizo yetu hayafanani kama una shida unamwambia nani
Watu wanacheza mambo hadharani kama una shida unamwambia nani
Hata mi za kwangu nimeacha nyumbani
Hatufanani hatulingani hatufanani hatulingani
Jiachie full mwanawani mshike mwenzio mkono kiunoni
Wote jiachie full mwanawani mshike mwenzio mkono kiunoni tufanane
Usihofu hasara hasara hakuna kulala usihofu hasara hasara hakuna kulala
Usihofu hasara hasara hakuna kulala
Kama shida tumezaliwa nazo njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango njoo tuzisahau shida
Kama shida tumezaliwa nazo njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango njoo tuzisahau shida
Kama kucheza tunacheza wote njoo tuzisahau shida
Kama kuimba tunaimba wote njoo tuzisahau shida
Na kama kucheza tunacheza wote njoo tuzisahau shida
Hata kuimba tunaimba wote njoo tuzisahau shida
Sina gari na nyumba ila wema nnao sina gari na nyumba ila wema nnao
Unataka kushindana na mimi huwezi maisha yangu uswahilini siishi mbezi
Unataka kushindana na mimi huwezi maisha yangu uswahilini siishi mbezi
Hii ni serikali ya kiswazi bibi tunakaba jiko tunakaba choo
Hakuliki wala hakuendeki wao wana dollar mmh si tuna visenti
Inakuhusu usije ukaongoka meno sababu ya uchu
Kwanini usipende kwanini usiende kwanini usicheze
Kwanini usipende kwanini usiende kwanini usicheze
Wengine chakala chakala mashetani yamepanda (yamepanda)
Ameshika usinga kanasa kwenye kibanda (kibanda)
Chakala chakala mashetani yamepanda (yamepanda)
Ameshika usinga kanasa kwenye kibanda( kibanda kibandaa kibandaa)
Kama shida tumezaliwa nazo njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango njoo tuzisahau shida
Kama shida tumezaliwa nazo njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango njoo tuzisahau shida
Kama kucheza tunacheza wote njoo tuzisahau shida
Kama kuimba tunaimba wote njoo tuzisahau shida
Na kama kucheza tunacheza wote njoo tuzisahau shida
Hata kuimba tunaimba wote njoo tuzisahau shida
Sugua gaga sugua gaga sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga sugua gaga sugua gaga
sugua gaga sugua gaga sugua gaga sugua gaga
Usihofu hasara hasara hakuna kulala
Usihofu hasara hasara hakuna kulala
Bora bwana pengo kuliko kuwa na jino bovu
Alama ya mguuni sio kovu ni hayo tu