[Verse 1: Vigeti]
Wameamua hao ndio wata kula keki soh
Funga mwananchi mdomo, miradi hazileti doh
Niambie round-y hii mbona vijana hawabebi doh
Miaka kumi na tatu wanacheza na ma AK vi-pro
Ma-mother wana-lose ma-sons wan*lia daily oh!
Sura ya Mzee Kenyatta iko in scarcity
Most wanted shinda janta, ama makazi D
Wasomi-tu na ma-degree za university
Corruption wise si tuko juu ndio shuguli ya wiki
Tuseme Afrika mzima kuna tu mashuguri ka sisi
Anyway, man we-alright
Kwa giza bado tuna-shine design ya neon light
Pesa ndio man best friend kama doggy
Unauwa unawalk free kama Tom Cholmondeley
Unamaliziwa kisha unatupwa tu kwa choo mdhii
Kila wiki methali utakuta tu Nairobi
[Chorus: Sati] x2
Nairobi niku-hustle
Wamama kwa vijana na watoto
Askari nao kupatiwa hongo
Ni jinsi ya kumaliza msoto x2
[Verse 2: Abbas Kubaff]
Hii ni definition real, ya f**ery
Ebu, skiza definition ya Nairobbery
Life is a b**h, na yeye huishi Nairobbery
Politicians wameweka mbegu ndani ya ovaries
Mandovu zinatosha mfuko za poverty
Wame-stack ni kama Johnny (irony!)
Ma-Popeye wakule spinach iwe irony
Msupa anatoka market na ma-groceries
Akachapiwa hadi kibeti iko na iphone six
Ma-guns zina-co*k ka kuku za ndume
Ma-5-O kwa GK ka jina ya kike
Juu Al-shabaab ina-madiaba hii system
Na Ma-deal hatujui tukiomba a**istance
Tukiomba kusafiri joh tuwe na kismet
Kwa map tumecheki imechorwa na Bismarck
Karibuni Nairobbery ni mji wa click-clack
[Chorus: Sati] x2
Nairobi niku-hustle
Wamama kwa vijana na watoto
Askari nao kupatiwa hongo
Ni jinsi ya kumaliza msoto
[Verse 3: Vigeti]
Ma-boy roundi hii wanavuta-tu ma-poni
Ma-shawty kwa street wanafukuza tu manoti
Serekali imegeuza mgogo inapuuza hakuna ngori
Nahurumia watoto wetu tunawaangusha kuna story
Nusu watu, nusu hayahawani, Judas Iscariot
Wana kubusu na matani
Pande ingine kukuchomea huku wire fulani
Zinaitwa mishi mishi za Nairobi
Mjanja ni mjanja usilazimishe man haitoki
Kwani nini oh yah!
Usinimambie ulikuja kuzubaa mjini oh-yah!
Ndio ndani ya Nairobi bana!
Mwisho wa mwezi landlord-y anadai kodi bana
Nairobi imenifunza vitu mingi
Mpaka watoto wadogo wanafukuza-tu shilingi
Nairobi my City, my town!
K-South washaitoleatu mziki one time NAIROBBERY!
[Chorus: Sati] x2