VERSE 1:
YEA keyverse na flow eswa-kimeru so sick
Baigirue ngichafua track iji bambira nkathitangwa ikendrick
Batiji ibro okwa omatha from another mother
Mi huspit vitu corrosive monka maigo ijakuma watha
Na ntwonarua kithee ganturaa ochafua
Indi raundi iji mbatite marapper thiiri ja nthua
Kana marogoto ja uon
Kazi ni freestyle buda huezi nipata na pen
But usichanganyikiwe mi ni msomi
Hommie
Ka zile ma3 lazima niache a unique mark
Chini ya maji but hatari ka shark yea,yea...
VERSE 2:
HipHop ni map hizi verse ni key
Hakuna worse wadhii
Its my chance hii
Yo futuristic
Afta this najua ni akina Collymore na kalamu za Bic
2kisign hizo madeali
Inakuwasha ofkos ju mi ndo ile pilipili...usioila
Nicho niko na Effects on you tembea 3560 ukaulize k**a
Zangu huwa mosmos ka ule boy wa Punit Frasha
Swag so neat utadhani mi hudressia Enkarasha
Ukitaka kujua enda Wilson uulize ka mi nimfly
Always on top ask her ju ye hulie
On her back everydei yaani akiota jua
Mahindi(mind) chafu pelekea msee wa mei atanunua
Hii ni revised edition ya extraordinaire
Cut off points are so high so kaka kuingia hii ligi ni soo rare...yea,yea
VERSE 3:
Ntiukari ndiuthiria mani ukaigua yoru
Nunki ja nkara imboru kana Tusker f.c date 11 Kinoru
Ntiukaa ngundi
Nongwakie nkundi
Ugaciithiria Gakoromone naaria plaza
Kandakumakia mono brasa
Nothing personal niko biashara ka P.S.V
Faiterrific Versace naRock maWear ka Jay Z
Ntikanya ka beef indi wenda nongwikie Nkubu gwa Prime
Kethira utaciukirwa monka thaaii my hobby ni kurhyme
Hamna redcarpet its okay we can try formica
Chosen one nasijidai ka marasta wa Jamaica
Uliza Ritchie nina flavour ju mi ndo Spices
Lazima iwe masterpiece hata nikiroga kuhusu faeces
Na simaanishi stool namaanisha masofa
Ka controversy inasell basi si uwashow Keyverse anama** offer