Nitakwenda,
Nitakwenda mbinguni
Kwa Baba, Mwana na Roho;
Nitaimba milele.
Nitamwona,
Nitamwona Eliya
Kwa Baba, Mwana na Roho;
Tutaimba milele.
Nitamwona,
Nitamwona Ibrahimu
Kwa Baba, Mwana na Roho;
Tutaimba milele
Nitamwona,
Nitamwona hata Musa,
Kwa Baba, Mwana na Roho;
Tutaimba milele.
Nitamwona,
Nitamwona na Henoko
Kwa Baba, Mwana na Roho;
Tutaimba milele.
Tutamwona,
Tutamwona Yemorini,
Kwa Baba, Mwana na Roho;
Tutaimba milele.
Tutamwona,
Tutamwona Mwasisi wetu,
Kwa Baba, Mwana na Roho;
Tutaimba milele.