Unaniaca unaenda tena
Nabaki apa mimi peke yangu
Watoto, watoto wan*liya
Usiende...
Kembo, kembo, kembo...
Watoto wan*liya...wewe
"napashwa"
Wandugu wan*liya...
Ni wewe
"napashwa"
Ata mama yako an*liya
"napashwa"
Mimi bibi yako naliya
Usiende na sorrow
Nitangoja...kembo
"usiende na sorrow
Tutangoja"
Usiende na sorrow
Tutangoja...kembo
Watoto wan*liya...hood !!!
"unapashwa"
Wandugu wan*liya...hood !!!
"unapashwa"
Ata mama yako an*liya
"unapashwa"
Mimi bibi yako naliya
Usiende na sorrow
Nitangoja...
Kembo... kembo...kembo...