Verse 1 (Juliani)
Si Kosovo, si Darfur, si China, si US, si hapa home
Sina options ningeulizwa ni-choose pahali kuzaliwa
Bora uko www kuna taabu
Si-exaggerate ka kunyoa ndevu
Na lawn mower
Pole 90 minutes celebrate
Pole 9 months
Si vile
Kukata juice, si hiyo tu
CO2 ina-contribute
Youths
Wanataka ku-have fun
Temperature zikipanda uta-get burnt
Chorus(Juliani & Jaya)
(mummy) siendi huko
(mummy) sitoki kwa tumbo
(mummy) hata after 9 months kupita
Heri nijinyonge na umbilical cord
(mummy) siendi huko
(mummy) sitoki kwa tumbo
(mummy) hata after 9 months kupita
Heri nijinyonge na umbilical cord
Ni kubaya...
Ni kubaya kwa mtaa
Ni kubaya kuna njaa
Ni kubaya
Take care, tetea environment
Verse 2 (Juliani)
Ni jua imeshuka ama nimerefuka
Hasara biashara ya jacket
Maji kuvuka seashore
El nino
Mpaka doorstep
Hatupitishi kitu kwa koo
Napunguza shimo kwa plate venye nimekonda
Hatutoi kitu kwa choo
Kupanda miti kwa forest na bado factories
Carbon dioxide kwa chimney
Ni ka kuchanganya maji na sumu
Hai-make co*ktail, kote
Industrialisation
Kamba ilifaa kututoa kwa shimo
Inatufungia note kwa shingo
Sitoki toki
IMF, World Bank watokee
Sitoki toki
Take care, tetea environment
Chorus(Juliani & Jaya)
(mummy) siendi huko
(mummy) sitoki kwa tumbo
(mummy) hata after 9 months kupita
Heri nijinyonge na umbilical cord
(mummy) siendi huko
(mummy) sitoki kwa tumbo
(mummy) hata after 9 months kupita
Heri nijinyonge na umbilical cord
Ni kubaya...
Ni kubaya kwa mtaa
Ni kubaya kuna njaa
Ni kubaya
Take care, tetea environment
Outro (Juliani)
Niaje wazeiya
Mi na-respond tu kwa cry ya mtoto wangu hajazaliwa akiniuliza
Nini niko nayo nimemwachia ka inheritance
Matym nilikuwa nadhani ni riches
But nikakam nikagundua ni more than that, that dough inaweza buy AC, inaweza buy fan
But haimpatii baridi
Nikagundua kuna time zingine nilikuwa natumia basin mzima kuosha uso
Saa zingine na-watch TV nikiskiza radio
Na nikisoma gazeti at the same time
Basically na-waste resources
But saa hii nimeamua kurauka
Rauka, ama hatuta-survive