Hook:
Represent Represent
Rusha mkono juu kama una represent
Represent represent
Jabz ndo jina usiongojee kuambiwa
Represent represent
Rusha mknon juu kama una represent
Represent represent
Jabz ndo jina usiongojee kuambiwa
Verse 1:
Mathafakka amefika, kimbia
Flow iko tamu ka anjera kwa sinia
Mkiadisia ninawapatia
Kama umeiva basin nitakupatia..
Kimboro, flow iko tight ka kikoro
Jabz noma leo juzi na tomorrow
Tunarepresent nikama tuko ligi
Kama unaogopa basi call polisi
Mi najibamba kumanisha iko easy
Nkiko kazi kumanisha niko busy
Kuja leta noma upatiwe za kifua
Jabz jina kubwa kumaanisha namature
Wanaboo wakidhani wanabamba
Jabz godfather kumanisha najigamba
Rusha mkono juu kama unarepresent
Rusha mkono juu kama unarepresent
Hook:
Verse 2:
Verse 2 naiingia verse 2
Marapper wako down nika wako cla** 2
Nimekuboo watchu gonna do?
Niko kwenye ndege nikenda majuu
Nimejibamba umekasirika
Jabz jina kubwa ka matako ya sidika
Mafans wako yes uko za apana
Umetupa radar kama team bafana
Ngoma iko nice ongeza stereo
Ngoma inafaa kua kwenye radio
Ju inashika bila ariel
Ngoma itaskika nairobi adi jericho
But tuko nai tunarepresent
Mi nkikam team yako utakua kwenye bench
Thome ndo place mi narepresent
Rusha mkono juu kama unarepresent
Hook: