Isabella naogopa unasepa
Isabella ya kwetu kumbuka
Isabella naomba ukumbuke
Isabella naomba ukumbuke
Isabella, ningekuwa na pesa ningekupa duka
Ju unaenda njoo tuseti moja uketi chini ukivuta
Oh mama kabla ukwende nipe busu nitakumbuka
Nipe tena, nikilala usingizi usiku naota
I'm stricken I can't deny
Ukarimu wako ndo unakupa sifa
And am stuck here for life
I can't move you are my ride or die
Isabella naogopa unasepa
Isabella ya kwetu kumbuka
Isabella naomba ukumbuke
Isabella naomba ukumbuke
Ukifika uipige simu yangu
Nabaki na nani?
Unaniacha mpweke
Nitachekwa nyumbani vile nimetokwa na mke
Sifumi sioni umenipiga mateke
I just feel like you are the one
Labda moyo inanipa mtihani
Ukifika London
Utume please call me nikope mama
Ukirudi London
Waambie sifa za huku nyumbani Kenya
I'm stricken I can't deny
Ukarimu wako ndo unakupa sifa
And am stuck here for life
I can't move you are my ride or die
Isabella naogopa unasepa
Isabella ya kwetu kumbuka
Isabella naomba ukumbuke
Isabella naomba ukumbuke