Alex Mwakideu - Njoo lyrics

Published

0 224 0

Alex Mwakideu - Njoo lyrics

[intro] Nakutaka, basi njoo Verse 1: Kila siku wenda kazi baby Nakusubiri na mapenzi Taki yangu haishi wee nakutaka Nakuenzi Nipe wakati niwe wako we Baridi imenishika babe Nashukuru yote unayofanya lakini Chorus: Baby njoo, niko ready Jipe raha baby Niko nawe Njoo siogope Ntakushika baby Pole pole Verse 2 Nshatoka job Mimi na bob Nafanya faster Baby niwe nawe Nataka sana nifike keja Hakuna jam Minina ham Nimetoka job Mi ndo meneja Ntakupa kila style Baby vimajor Ntakupa kila style Baby vimajor Ah ah baby vimajor Chorus: Baby njoo Niko ready Jipe raha baby Niko nawe Njoo siogope Ntakushika baby Pole pole X2 [sax interlude] Chorus: Baby njoo Niko ready Jipe raha baby Niko nawe Njoo siogope Ntakushika baby Pole pole x2 Verse 3: Dinner weka kando we ndio supper Niko tayari babe ninakutaka, si unajua we ndio msuper nami najua we ni wangu sure, ukiwa down mimi niko upper, nikiwa down we uko upper, we kwenye vocals mimi ndio rapper, ntamtoa nyoka pangoni Chorus: Baby njoo Niko ready Jipe raha baby Niko nawe Njoo siogope Ntakushika baby Pole pole x2 [sax interlude] Njoo usiwe na wasi wasi songa karibu, nipe yako nafasi, wachana na vicheche zao nuksi, njo nipe mapenzi matamu kama nanasi, nanasi baby, nanasi baby

You need to sign in for commenting.
No comments yet.