4T DAYZ - STREET MATATU LIFESTYLE lyrics

Published

0 371 0

4T DAYZ - STREET MATATU LIFESTYLE lyrics

[Intro] P.T.G ON THE LOOSE.... P.T.G ON THE NEWS..... [Chorus] Ii ndo LIFESTYLE Ii ndo LIFESTYLE... STREET MATATU LIFESTYLE*6 [Verse 1] Nmetoka FAR EAST am Chasing My Prime, ndo maana wameni PINPOINT Juu na Travel FORWARD kaa Green & Yellow Na rep Eastlando Kaa MWAMBA na UMOINNER Mistari zina flow kaa RIVER OF GOD forgive me am a sinner Chunga usipigwe TISA ukienda EASTLEIGH Pitia Juja Road, Panda KMOS ama 46 Nina HAZINA, so situmii route 11 Napanda MARUTI kuenda Allsopps Ndo ni run SUPER HIGHWAY kaa MANCHESTER Si NAZIGI but na feel ni kaa nko PARADISO Nmepanda ndege EMBASSAVA SWIFT & ROYAL, proud as a PEAco*k Juu nko top 10 kaa MARINGO [Chorus] Ii ndo LIFESTYLE Ii ndo LIFESTYLE... STREET MATATU LIFESTYLE*6 Nina white Collar Juu Nafanya 8-5 Nki late napanda 58 u C-BET i'll be right on time Traffic Jam sio issue JOGOO ROAD, gate ya EASTLANDO Zone Yenye ad Traffic Police anaendesha PRADO Kwa Ma three itabidi mshike Chuma, Kwa NISSO mtoshee mtu nne 29/30 na round about kaa MAOKA 26 Kwa DOUBLE M na connect people like NOKIA Watu wa EASTERN BY-PASS wana ishi na NO FEAR KANGUNDO ROAD, akuna vako we only deal with notes here Sina UTAWALA but nina 5 FRIENDS INVESTMENT NAIROBI ni ngumu kupata LOYALTY KAKA TRAVELLERS uku wako idhaa ya ROYALTIES [Chorus] Ii ndo LIFESTYLE Ii ndo LIFESTYLE... STREET MATATU LIFESTYLE*6 Kaa we ni COMMUTER unafaa k TRAIN K arakisha kuingia ama uachwe Kaa radar ama Stage upitishwe Chunga mizigo ama ivukishwe Beba mtoto ama kiti ulipishwe Lipa na Pesa ndogo ama change ukaushwe Nina 9 LYVZ, CATSKILL, NO LIMIT kaa DODI, kwa Ma three watu huingia bila hodi Niko kwa OUTREACH kaa TRAVELLER na kuna mtu ana preach vi MARVELOUS HANNOVER, HANNOVER, HIGH-RISE kaa WEST MADARAKA Ikifika South B me ni OWNER WESTSIDE kaa St MARY na AKILLA Na LINK COUNTY kaa OROKISE 2kue UNIFIED v POA... [Chorus] Ii ndo LIFESTYLE Ii ndo LIFESTYLE... STREET MATATU LIFESTYLE*6 [Outro] Ha ha Ati ma STRIKE ndio wa raise issues Mvua ikinyesha fare ina triple Rush Hour na mchana Bei ni Different Route ni moja lakini Sacco ni different Hahahaa Street Lifestyle, Street Matatu Lifestyle Street Lifestyle, Street Matatu Lifestyle

You need to sign in for commenting.
No comments yet.